Kenyans Live

Samburu: Watu 6 wajeruhiwa, mifugo zaidi ya 700 yauawa katika operesheni inayodaiwa kuwa ya Polisi

Description (show more)

Viongozi wa Kaunti ya Samburu na jamii ya Maa kwa ujumla wamekashifu vikali kujeruhiwa kwa watu sita na kuuawa kwa mifugo zaidi ya mia saba katika operesheni ya maafisa wa polisi, ambayo walidai iligeuka kuwa shambulizi. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Share:

Related Videos

More from NTV Kenya