Kenyans Live

Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna atangaza azma ya kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao

Description (show more)

Seneta wa nairobi edwin sifuna sasa anasema atakuwa debeni kuwania urais kwenye uchaguzi mkuu ujao. Sifuna akisema ana imani kuwa anatosha kumng'atua mamlakani rais william ruto debeni akipuuza siasa za kuwa hana uzoefu wa kutosha kuongoza kenya.

Share: