Kenyans Live

Gavana wa kaunti ya Kwale Fatuma Achani aunga mkono makundi 32 ya Tiwi kwa nyenzo za biashara

Description (show more)

Gavana wa Kaunti ya Kwale Fatuma Achani ameyapiga jeki makundi 32 kutoka Wadi ya ya Tiwi huko Matuga kwa kuyakabidhi nyenzo za biashara ili yajikuze kibiashara.

Share: