Kenyans Live

Polisi waonya kuhusu kuchipuka upya kwa magenge katika Kisiwa cha Lamu

Description (show more)

Maafisa wa polisi katika kaunti ya Lamu wameonya kuhusu kuchipuka upya kwa magenge ya vijana yaliyojihami kwa panga katika Kisiwa cha Lamu. Kamanda wa polisi wa kaunti ndogo ya Lamu ya kati William Ngolo amesema makundi hayo, ambayo awali yalidhibitiwa kupitia ushirikiano kati ya maafisa wa polisi na wakazi, yameibuka tena na kuhatarisha usalama wa wananchi. Taarifa kamili katika dira ya kaunti. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: