Kenyans Live

Washikadau wakutana Karen kujadili amani na umoja kuelekea uchaguzi mkuu

Description (show more)

Washikadau kutoka sekta mbalimbali, wakiwemo maafisa wa tume ya uwiano na utangamano wa kitaifa (NCIC), wamekutana karen, kujadili umuhimu wa kudumisha amani na umoja nchini kuelekea uchaguzi mkuu.

Share: