Upasuaji wa miili ya watu 24 waliofariki kwenye ajali ya Mtito Andei waendelea
Description (show more)
Shughuli ya upasuaji wa miili ya watu 24 waliofariki kwenye ajali jana asubuhi katika eneo la kanga huko Mtito andei kaunti ya Makueni inaendelea katika hospitali ya Mtito andei. Aidha watu kumi kati ya 23 waliojeruhiwa kwenye ajali hiyo wametibiwa na kuruhusiwa kwenda nyumbani wengine kumi wakiwa bado wamelazwa na wengine watatu wamehamishiwa katika hospitali kuu ya Coast general.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
3:04Fred Ogweno: Jotelo mang’eny e pinyka dwaro chung gi duond bura ma ODM e yiero mabiro
· 8 views
3:14Talanta Stadium's KSh 45.85 Billion Cost Under Scrutiny. Will Talanta deliver value for money?
· 4 views
15:13| SPORTY MONDAY | Lionesses chase African glory
· 8 views
7:18Talanta Stadium: This is the first time that we are having a stadium that is 60,000 capacity
· 14 views
4:24Ken Muga: Chokruok mar ODM mane otimore e alap Jacaranda nyiso ni ODM pod otegno
· 5 views
51:06Mary Kathomi: Kalonzo Musyoka demeaned Edwin Sifuna
· 455 views
3:26Eric Oduor: Onge ng'ato mane okel gi bas e chokruok mar ODM e Jacaranda
· 20 views
27:59| SPORTY MONDAY | FKF: Red card or power play?
· 25 views
