Gavana wa Murang’a Irungu Kang’ata aishutumu serikali kwa kusitisha mfumo wa afya wa Afya.KE
Description (show more)
Gavana wa Kaunti ya Murang’a, Dkt. Irungu Kang’ata, ameishutumu serikali kuu kwa kusitisha mfumo wa kidijitali wa afya wa Kaunti ya Murang’a unaojulikana kama 'Afya.KE'. Akizungumza katika Kanisa la AIPCA Cathedral mjini Nyahururu, Kang’ata alisema kuwa utawala wake umechukua zaidi ya miaka minne kujenga mfumo huo, ambao hutoa huduma za matibabu bila malipo kwa takriban boma zaidi ya 40,000 zilizo katika mazingira magumu na umaskini .
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
3:04Fred Ogweno: Jotelo mang’eny e pinyka dwaro chung gi duond bura ma ODM e yiero mabiro
· 8 views
3:14Talanta Stadium's KSh 45.85 Billion Cost Under Scrutiny. Will Talanta deliver value for money?
· 4 views
15:13| SPORTY MONDAY | Lionesses chase African glory
· 8 views
7:18Talanta Stadium: This is the first time that we are having a stadium that is 60,000 capacity
· 14 views
4:24Ken Muga: Chokruok mar ODM mane otimore e alap Jacaranda nyiso ni ODM pod otegno
· 5 views
51:06Mary Kathomi: Kalonzo Musyoka demeaned Edwin Sifuna
· 455 views
3:26Eric Oduor: Onge ng'ato mane okel gi bas e chokruok mar ODM e Jacaranda
· 20 views
27:59| SPORTY MONDAY | FKF: Red card or power play?
· 25 views
