Kenyans Live

Mamlaka ya maji Pwani yalaumu usambazaji haramu na kuvuja kwa mabomba kwa uhaba wa maji

Description (show more)

Mamlaka ya usambazaji maji eneo la Pwani imetaja usambazaji haramu wa maji na kuvuja kwa baadhi ya mabomba ya maji kama sababu kuu za uhaba wa bidhaa hiyo muhimu kaunti za Pwani.

Share: