IPOA yatakiwa kuchunguza kukamatwa kwa mwanahabari wa Citizen TV
Description (show more)
Jioni ya leo, maafisa wa polisi wamewekwa kwenye darubini kufuatia madai ya kudhulumiwa na kukamatwa kwa mwanahabari wa Citizen TV, Ode Francis, alipokuwa akifuatilia taarifa hapa jijini Nairobi. Ode Francis alikamatwa akiwa na wenzake alipokuwa akifuatilia maandamano ya wanaharakati kupinga kupanda kwa bei ya mafuta. Tukio hili limeibua hisia kali, huku Chama cha Wahariri nchini kikiitaka Tume Huru ya Kusimamia Utendakazi wa Polisi, IPOA, kuchunguza tukio hilo mara moja. Chama hicho pia kimemtaka Inspekta Jenerali wa Polisi, Douglas Kanja, kuomba radhi. Laura Otieno anatueleza zaidi.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
1:49:23🔴LIVE || TV47 Saa Tano
· 1.3K views
23:22LIVE: Tamrini naye Sheila Yogo II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 431 views
1:33Langata residents to benefit from free medical camp organised by KMPDU SG Davji Atellah
· 24 views
26:16LIVE: Kurunzi Mashinani naye Sheila Yogo II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 438 views
1:48:28LIVE: Sports Check with Daniel Wahome II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 936 views
1:39:06Future of the opposition: Will they agree on a single candidate?
· 310 views
2:21
3:40Waititu ahukumiwa kwa makosa matatu utakatishaji fedha
· 42 views
