Kenyans Live

Chama cha ODM chaimarisha maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa 2027

Description (show more)

Chama cha ODM kimeimarisha maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa 2027, kikikaribisha kundi jipya la wagombea katika safu zake huku kikiwahakikishia kura za mchujo za chama zitakuwa huru na za haki.

Share: