Uhuru Kenyatta aachia uongozi wa Jubilee baada ya uamuzi wa mahakama
Description (show more)
Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta ametangaza kujiondoa afisini kama kinara wa Chama cha Jubilee, kufuatia uamuzi wa Jumatatu wa Mahakama Kuu ulioshikilia kuwa marais wastaafu hawaruhusiwi kushikilia nyadhifa zozote katika vyama vya kisiasa, miezi sita baada ya kuondoka afisini. Katika taarifa, Kenyatta hata hivyo amesema alisalia kileleni mwa Jubilee miaka minne baadaye kutokana na mgogoro wa uongozi chamani, ambao ulihitaji kusuluhishwa mahakamani kabla ya kuondoka kwake. Uamuzi huo uliotolewa na Jaji Lawrence Mugambi haujamzuia Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta kushiriki katika siasa za humu nchini.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
2:35Sifuna azuiwa na uongozi wa chuo cha JKUAT Karen kuhudhuria mkutano katika chuo hicho
· 1 views
1:55Rais Ruto aendeleza mashambulizi yake dhidi ya Uhuru Kenyatta
· 2 views
3:15Rais William Ruto ataja upinzani kama kundi la watu wasio na mwelekeo, dira wala ajenda
· 10 views
2:56Watu 9 Wafariki Katika Ajali Mbili za Barabarani Machakos na Kisii
· 18 views
3:26Familia 300 Zarudi Mau Baada ya Kukosa Fidia ya Sh2.6B
· 12 views
2:20
2:23Watu watano waliuwawa Gotu , kaunti ya Isiolo jana Jumatano.
· 5 views
1:26Sifuna speaks after initially being denied access to a meeting at JKUAT’s Karen Campus
· 25 views
