Kenyans Live

Watetezi wa haki za watoto wafanya hamasa ya afya ya hedhi kaunti ya Kisii

Description (show more)

Ujumbe maalum kutoka taifa la Marekani ukiwemo watetetezi wa haki za watoto wamezuri kaunti ya Kisii kwa shughuli za kutoa hamasisho kwa vijana hususan wasichana wanaokumbwa na changamoto za hedhi mashinani.

Share: