Kenyans Live

Vijana wa Pwani wahimizwa kujiunga na taasisi za kiufundi kukabiliana na uhalifu na ukosefu wa ajira

Description (show more)

Vijana kutoka pwani wametakiwa kukumbatia mafunzo ya taaluma tofauti katika taasisi za kiufundi ili kukabiliana na ongezeko la uhalifu na ukosefu wa kazi ambao umetajwa kuchangia kwa kuchipuka kwa magenge hasa kaunti za mombasa na kwale.

Share: