Kenyans Live

Serikali ya kaunti ya Kilifi yaweka mikakati kudhibiti utata wa ardhi

Description (show more)

Serikali ya kaunti ya Kilifi kupitia Idara ya ardhi kaunti hiyo kwa ushirikiano na serikali kuu na wadau wengine wanao shughulikia maswala ya ardhi nchini inasema itatekeleza kikamifu mikakati waliyoweka kuhakikisha kuwa inadhibiti swala la utata wa ardhi ambalo limekuwa Donda sugu kaunti hiyo na hata pwani kwa jumla.

Share: