Kenyans Live

Ifahamu China: Vituo vya Luban

Description (show more)

China imeanzisha vituo 38 vya Luban katika nchi 32 duniani, vikitoa mafunzo kwa zaidi ya wanafunzi elfu- 190,katika viwango tofauti vya elimu ya kiufundi. Vituo hivyo vinalenga kukuza ujuzi wa kitaalamu na kuimarisha ushirikiano wa China na nchi nyingine katika sekta za elimu na uzalishaji.Tupate taarifa kamili katika makala ya ifahamu china Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: