Kenyans Live

Kampuni ya uchukuzi ya weego yawakaribisha wasanii Kenya kuadhimisha miaka 50 ya Uncle Fred Machoka

Description (show more)

Kampuni ya uchukuzi ya weego imewakaribisha nchini wasanii maarufu wa rhumba, ambao waefika nchini tayari kwa sherehe kubwa ya kuadhimisha miaka 50 ya utangazaji ya gwiji wa kipindi cha rogaroga kwenye radio citizen uncle fred obachi machoka.

Share: