Kenyans Live

Harambee Stars kukutana na Rwanda katika mechi ya kirafiki Kigali

Description (show more)

Kocha wa timu ya taifa ya kandanda harambee stars benni mccarthy atawapa wachezaji wapya nafasi ya kucheza kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya amavubi ya hii leo mjini kigali, rwanda.

Share: