Kenyans Live

Andrew Wanyonyi ajitosa kwenye kinyang’anyiro cha ugavana Trans Nzoia

Description (show more)

Spika wa Bunge la Kaunti ya Trans Nzoia, Andrew Mkhisa Wanyonyi, ametangaza azma yake ya kuwania ugavana wa kaunti hiyo katika uchaguzi wa 2027, akilenga kumenyana na Gavana George Natembeya.

Share: