Kenyans Live

Idara ya Mahakama yaadhimisha miaka 10 ya utatuzi wa mizozo nje ya mahakama

Description (show more)

Idara ya mahakama inaadhimisha miaka kumi tangu kuzinduliwa kwa mfumo wa njia mbadala za kutatua mizozo mbali mbali nje ya mahakama ili kupunguza msongamano wa kesi kotini.

Share: