Kenyans Live

Gavana Natembeya adai njama ya kumkamata kutokana na msimamo wake kuhusu soko la Kitale

Description (show more)

Gavana wa trans nzoia george natembeya anadai kulikuwa na njama ya kumkamata jumamosi kufuatia msimamo wake kuhusu ufunguzi wa soko la masinde muliro eneo la kitale. Natembeya alisema jumatatu hii ataongoza maombi katika soko hilo, huku serikali ya kitaifa ikiendelea kugawa nafasi kwa wafanyabiashara katika soko hilo lenye utata.

Share: