Wanaharakati Uasin Gishu wapinga kukamatwa kwa Benson Juma kwa tuhuma za mihadarati
Description (show more)
Wanaharakati katika kaunti ya Uasin Gishu wamelaani vikali kutiwa mbaroni kwa mmoja wao kwa tuhuma za kujihusisha na biashara ya mihadarati. Kwenye kikao na wanahabari jijini Eldoret wanaharakati hao wamemtetea Benson Juma kama mwenzao anayepigania haki za wanyonge kwenye jamii na kutaja njama ya kuwakandamiza katika juhudi zao za kupigania haki.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
2:01:07Kalonzo: See You At The Ballot; ODM Irreducible Minimums To UDA || TV47 Breakfast || 02.11.2026
· 1 views
46:35From Kickbacks to inflated costs: How Bomas is being bartered for billions in secret contract
· 1 views
2:51Odera Odhiambo: Linda Mwananchi: National or Western Kenya party?
· 2 views
52:14LIVE | SIWANDHA MAR TUKE 2/11/2026
· 1 views
52:51| DAY BREAK | 2027: Terms and conditions
· 59 views
5:00Daniel Orogo: ODM is the one courting Sakaja for the Nairobi Governor ahead of 2027
· 12 views
1:32:30Kũmuramura Magathĩti (02/11/2026) #iNooroRũciinĩ
· 501 views
4:25Njeri Kahiga: No amount of party change is going to help Sakaja, he is going home!
· 24 views
