Kenyans Live

Linda Mwananchi wamuunga mkono Sifuna kuwania urais

Description (show more)

Viongozi wa Linda Mwananchi wamekata kauli kwa pamoja kumuunga mkono seneta wa Nairobi Edwin Sifuna kuwania urais kupitia chama ambacho kitazinduliwa rasmi mwanzoni mwa mwezi Oktoba. Vile vile viongozi wa mrengo huo wamemuunga mkono mbunge wa Embakasi East Babu Owino kuwania kiti cha ugavana wa Nairobi kupitia chama chake cha Mwananchi Party. Seth Olale ana taarifa kamili.

Share: