Kenyans Live

Viongozi Lamu Mashariki wataka wakazi kuunga mkono miradi ya serikali

Description (show more)

Viongozi wa Lamu Mashariki wawataka wakazi wa eneo bunge hilo kuacha kupinga miradi ya serikali bila misingi, wakisema miradi hiyo inalenga kuboresha uchumi wao.

Share: