Kenyans Live

kaunti ya Garissa yajitayarisha kukabiliana na athari za mvua ya El Niño

Description (show more)

Kamishina wa kaunti ya Garissa John Cheruiyot amewahakikishia wakazi wa kaunti hiyo kuwa serikali imejiandaa kukabiliana na athari za mvua ya El Nino inayosuburiwa mwezi huu.

Share: