Kenyans Live

Rais William Ruto akabidhi hati miliki za ardhi kwa wakazi wa Mombasa

Description (show more)

Rais William RUTO ameongoza zoezi la kutoa hati miliki za ardhi za wakazi wa mombasa katika Bustani ya mama jijini humo. rais ruto amewawakikishia wakazi wa pwani kuwa serikali yake itatatua dhuluma za kihistoria za mashamba katika eno la pwani.

Share: