Kenyans Live

Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen na Douglas Kanja wahojiwa kuhusu operesheni ya usalama Samburu

Description (show more)

waziri wa usalama kipchumba murkomen na inspekta mkuu wa polisi douglas kanja wamefika mbele ya kamati ya bunge kuhusu usalama kujibu maswali kuhusu operesheni inayoendelea samburu ambapo mifugo waliuwawa kwa mtutu wa bunduki.

Share: