Kenyans Live

Washukiwa wa mauaji tata Trans Nzoia wafikishwa mahakamani

Description (show more)

Mjane mmoja na kaka yake, wanaotuhumiwa kwa mauaji ya mfanyabiashara wa Endebess, Joseph Njuguna Njenga, wamekana mashtaka mbele ya mahakama kuu huko Kitale. Jaji wa mahakama kuu ya Kitale, Robert Limo, ameamuru Mary Muthoni na Michael Maina waendelee kuzuiliwa huku wakisubiri uamuzi kuhusu ombi lao la dhamana wiki ijayo. Mfanyabiashara huyo mwenye umri wa miaka 68 alipatikana ameuawa ndani ya nyumba yake kwenye shamba la Kiptugut katika kijiji cha Kimase huko Endebess mwezi uliopita. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: