Kindiki atangaza uhakiki mpya wa watengenezaji wa pombe nchini
Description (show more)
Naibu Rais Profesa Kithure Kindiki ametangaza kuwa watengenezaji wa pombe zinazouzwa nchini Kenya watafanyiwa upya ukaguzi na uhakiki. Akizungumza katika eneo bunge la Lari, Kaunti ya Kiambu, Kindiki amesema hatua hiyo imechochewa na kuongezeka kwa pombe hatari zinazodaiwa kuhatarisha afya ya wananchi. Naibu Rais pia amewataka Wakenya kuondoa siasa katika vita dhidi ya pombe haramu nchini, akisema jukumu la kukabiliana na suala hilo linapaswa kuachiwa vyombo vya usalama pamoja na mashirika mengine husika ya serikali.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
1:16:18🔴LIVE || TV47 Saa Tano
· 811 views
22:31LIVE: Kurunzi Mashinani naye Sheila Yogo II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 504 views
1:01:45LIVE: Lunchtime News with Ben Troy Njue II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.1K views
30:11🔴LIVE || TV47 News @1pm with Wakio Mzenge
· 1.1K views
20:42LIVE: Tamrini naye Sheila Yogo II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 454 views
1:01:11LIVE: Prime Edition with Muchuma Odim II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.9K views
51:44🔴LIVE || TV47 PRIME @ 9PM || TV47KENYA
· 4.6K views
11:55:00LIVE | #RAMOGITVLIVE
· 24.8K views
