Ruto : Kenya iko tayari kukabiliana na Ebola
Description (show more)
Taifa liko tayari kukabiliana na Ebola. Haya ni kwa mujibu wa Rais William Ruto, ambaye amesema mikakati ya kutosha imewekwa ili kuwatambua na kuwatenga wagonjwa, pamoja na kuzuia kuenea kwa ugonjwa huo hatari. Rais Ruto amesema kufuatia kutambuliwa kwa mgonjwa aliyefariki Jumatatu, Serikali imeimarisha utayari wake na kuwataka Wakenya kutokuwa na wasiwasi.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
3:56Mahakama Yasema Simama, Lakini Ujenzi Waendelea Kwenye Ardhi ya Moi
· 8 views
57:45
1:51Gvaana Johnson Sakaja: Ok abiro yako gir ng'ato; abiro ei ODM timo dwach Baba ma en ling'any mare
· 12 views
3:20Mahakama Yasema Simama, Lakini Ujenzi Waendelea Kwenye Ardhi ya Moi
· 39 views
2:10Gavana Johnson Sakaja:Ne ok amanyo Baba kinde mane idwa thicha e apis; Baba ema ne omanya
· 20 views
1:11Gavana Johnson Sakaja: Baba ne ok ogero ODM mondo orum nikech dwach josiasa moko
· 10 views
1:17Gavana Johnson Sakaja:Wan ei ot achiel gi UDA-ODM; Oburu nomor neno ni aduogo dala
· 31 views
1:30Gavana Johnson Sakaja:Thoth jo ODM ne olutona ombulu e yiero ma 2022; an gi johera mag ODM
· 12 views
