Kenyans Live

Gachagua na Kalonzo wakubaliana kuunga mkono mgombea mmoja wa upinzani

Description (show more)

Kinara wa DCP Rigathi Gachagua na kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka leo wamekutana katika mfululizo wa mikutano ya viongozi wa upinzani nyumbani kwa Gachagua, kaunti ya Nyeri. Vyama vya DCP na Wiper vimesema viongozi hao wameafikiana kushirikiana na kumuunga mkono atakayeteuliwa kupeperusha bendera ya upinzani katika kinyang’anyiro cha urais. Kamau Mwangi ana mengi zaidi.

Share: