Kenyans Live

Kitengo cha watoto hospitali ya Msambweni kaunti ya Kwale kupata vifaa vipya

Description (show more)

Kitengo cha watoto katika hospitali ya Rufaa ya Msambweni katika kaunti ya Kwale, kinatarajiwa kunufaika na vifaa vipya vya matibabu, vikiwemo viti vya magurudumu na vifaa vya kuwahudumia watoto wachanga.

Share: