Kenyans Live

Gavana wa Kwale Fatuma Achani awataka wazazi wa kusubiri mwongozo kuhusu bursari

Description (show more)

Gavana wa Kaunti ya Kwale Fatuma Achani amewataka wazazi wa Kaunti hiyo kuwa na subira kungoja muongozo kutoka kwa Mdhibiti wa Bajeti nchini Margaret Nyakang'o kuhusu utoaji basari kwa wanafunzi wenye uhitaji katika kaunti hiyo.

Share: