Watu-16 bado hawajulikani waliko baada ya jengo kuporomoka Eastleigh
Description (show more)
Shughuli ya kuwatafuta manusura wa jengo lililoporomoka mtaani Eastleigh jijini Nairobi imeingia awamu muhimu huku mashirika ya uokoaji na maafisa wa serikali wakiwatafuta watu-16 ambao bado hawajulikani waliko. Kamishna wa kaunti ndogo ya Nairobi kaskazini Simon Osumba amesema hakuna manusura waliookolewa leo huku darubini ikielekezwa kwenye mawimbi ya mawasiliano ya simu katika eneo la mkasa na taarifa muhimu kutoka kwa kampuni za mawasiliano kubaini iwapo wale waliotoweka walikuwa wamefukiwa chini ya vifusi. #KBCniYetu Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
10:25Neltuma: The ‘Poisoned Chalice’ Threatening Water Sources and Livelihoods in ASAL Regions
4:26Inside the new Talanta Stadium
1:03Harambee Stars name squad for Bafana Bafana
1:05:44LIVE | OIMORE | 01/11/2026
1:35Kenya Baseball5 Team Stuns France and Mexico to Reach Youth Olympic Games Semifinals
1:50Jasmine Okande Wins Girls’ 50m Breaststroke at Nairobi Swimming Championships
1:25BESBOL: Kenya ochako maber e tuk besbol e olimpik
2:41