Kenyans Live

Viongozi wa Wajir wamewataka wakazi kujisajili kuwa wapiga kura

Description (show more)

Viongozi wa Wajir wamewataka wakazi kuungana na kushiriki kikamilifu katika mchakato wa kisiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka ujao, wakisisitiza umuhimu wa kuongeza idadi ya wapiga kura katika eneo hilo.

Share: