Kenyans Live

Mauaji ya Dkt.Victoria Mutiso, wakili Kyalo Mbobu I Inspekta Kenneth Kipkemboi kuzuiliwa korokoroni

Description (show more)

Mshukiwa anayedaiwa kupanga mauaji ya Dkt. Victoria Mutiso na wakili Mathew Kyalo Mbobu ataendelea kuzuiliwa kwa siku 14 zijazo. Hii ni baada ya mahakama ya Milimani kuamuru mshukiwa huyo, inspekta wa Polisi Kenneth Kipkemboi Sang, azuiliwe huku uchunguzi ukiendelea. Inspekta Sang alikamatwa mwishoni mwa wiki akiwa mafichoni mjini Eldoret, kaunti ya Uasin Gishu. Sang anahusishwa na mauaji mawili tofauti yaliyotokea mnamo mwezi Septemba 2025 na mwezi Julai 2026. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: