Kenyans Live

Kalonzo alalamikia kuachwa pweke, asisitiza azma ya kuwania urais

Description (show more)

Kinara wa chama cha Wiper, Kalonzo Musyoka amelalamikia kuachwa pweke na wandani wake huku viongozi wa serikali wakimshinikiza kugura upinzani na baadhi ya wapinzani wakimzomea. Kalonzo amesisitiza kuwa yuko imara kwenye azma yake ya kuwania urais kwama ujao akiwataka viongozi wa upinzani kutoyumbisha umoja wao.

Share:
New3:11

New

KTN News KenyaNews
· 4 views