Kenyans Live

Wanaume katika kaunti ya Busia wahimizwa kupima saratani ya matiti

Description (show more)

Wanaume katika kaunti ya busia wamehimizwa kujitokeza kupimwa saratani ya matiti ambayo hudhaniwa kuwaathiri wanawake peke yao.

Share: