Bodi ya utalii yaongeza jitihada za kufungua maeneo ya kitalii Kaskazini mwa nchi
Description (show more)
Bodi ya utalii humu nchini imeongeza jitihada za kufungua maeneo ya kitalii Kaskazini ya nchi huku wadau wa sekta hiyo wakitembezwa kwenye vivutio mbalimbali huko Marsabit, Jangwa la Chalbi, North Horr na Ziwa Turkana. Afisa mkuu mtendaji wa bodi hiyo June Chepkemei amesema juhudi hizo zitasaidia kutathmini uwezo wa eneo hilo wa kuwa mwenyeji wa watalii zaidi mbali na kuimarisha kampeni ya kupendekeza Kaskazini ya Kenya kama kivutio maalum cha watalii. Taarifa hii na nyingine ni kwenye Makala ya Kapu la Biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
1:35
4:47:20🔴LIVE || TV47 Breakfast
1:59Gavana ma Tharaka Nithi Muthomi Njuki jiwo Kalonzo odonj e sirkal
1:35Gavana ma Machakos Wavinya Ndeti siro Kalonzo e ng'we laro kom tend piny 2027
1:17
46:15Mary Njogu: Exam malpractice attracts jail terms and cancellation of results
1:43
1:29