Kenyans Live

Chuo cha Mafunzo Anuwai cha Nyandarua kuandaa michezo ya KATTI

Description (show more)

Eneo la mlima kenya magharibi litakuwa mwenyeji wa chama cha taasisi za mafunzo ya kiufundi cha kenya (KATTI) katika kaunti ya nyandarua kwa ajili ya michezo ya kila mwaka yanayoandaliwa na chuo cha mafunzo anuwai cha nyandarua .

Share: