Kenyans Live

Wazee Kajiado kusini waongoza mapambano dhidi ya mila potovu

Description (show more)

Mila potovu kama ukeketaji, ndoa za utotoni na mimba za mapema zimeendelea kuwa kikwazo kwa elimu na maendeleo ya watoto wa kike katika katika kaunti ya kajiado hasa maeneo ya mpakani kati ya Kenya na Tanzania. Sasa wazee, wamechukua jukumu la kupambana na mila hiyo potovu.

Share: