Kenyans Live

Siha na maumbile | Dkt. Gikenyi aeleza umuhimu wa kutambua saratani ya matiti mapema

Description (show more)

Saratani ya matiti ni miongoni mwa changamoto za kiafya zinazowaathiri wanawake, si tu humu nchini bali kote ulimwenguni, japokuwa wanaume pia wanaweza kuugua ugonjwa huu. Katika makala ya Siha na Maumbile ya leo, Dkt. Magare Gikenyi wa kituo cha Equity Afya Nakuru anaeleza kwa kina kuhusu aina hii ya saratani, akifafanua kwa nini kutambua ugonjwa huu mapema kunaweza kuleta tofauti kubwa katika matokeo ya matibabu.

Share: