Kenyans Live

Viongozi kutoka Garissa wanaitaka tume ya kuajiri walimu TSC kuwaajiri walimu wanaohitimu

Description (show more)

Viongozi kutoka Garissa wanaitaka tume ya kuajiri walimu TSC kuwapa ajira kundi la kwanza la walimu wanaotarajiwa kuhitimu kutoka chuo cha walimu cha Garissa mwezi ujao.

Share: