Kenyans Live

Afisa wa kaunti auawa, wengine watatu wajeruhiwa baada wahalifu kuvamia kituo cha ushuru Kilifi

Description (show more)

Afisa mmoja wa kaunti amefariki huku wengine watatu wakiuguza majeraha akiwemo afisa wa polisi baada ya kuvamiwa na genge la wahalifu katika kituo cha kukusanya kodi huko likoni kaunti ya mombasa. Genge hilo limetoweka na bunduki huku maafisa wa polisi wakianzisha msako kuwanasa wahalifu hao.

Share: