Kenyans Live

Walimu KNUT kaunti ya Nandi wapinga kuhamishwa kwa walimu wa JSS hadi KUPPET

Description (show more)

Walimu wa KNUT kaunti ya Nandi wamepinga uamuzi wa TSC kuwahamisha walimu wa JSS kutoka KNUT hadi KUPPET.

Share: