Kenyans Live

Moses Kinyanjui ahitimu baada ya miaka 12 kwenye chuo kikuu

Description (show more)

Hebu tafakari kusajiliwa kwenye chuo kikuu kwa kozi ya miaka minne ila hatimaye unatumia miaka 12 kupata shahada. Hii nido hadithi yaMoses Kinyanjui, mwanamme ambaye maisha yake yamekumbwa na changamoto nyingi kutokana na uraibu na ukosefu wa usaidizi wa kifedha.  Mwanahabari wetu Marie Yambo anatuarifu zaidi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: