Kenyans Live

ODM Mombasa wataka Hassan Omar achukuliwe hatua

Description (show more)

Chama cha ODM kaunti ya Mombasa pamoja na baadhi wawakilishi wadi wamekashifu matamshi ya Katibu wa chama cha UDA Hassan Omar wakisema yanalenga kuvuruga umoja na maelewano kati yao.

Share: