Kenyans Live

Mashindano ya kimataifa ya ngamia ya Maralal kaunti ya Samburu yaanza kukuza utalii na biashara

Description (show more)

Mji wa Maralal katika Kaunti ya Samburu umejaa shughuli huku mashindano ya kimataifa ya ngamia ya Maralal yakianza leo. Huku wageni wakitarajiwa kutoka maeneo mbalimbali nchini Kenya na nje ya nchi, hafla hiyo ya siku tatu inatoa fursa ya kusherehekea utamaduni wa Samburu, kukuza utalii na kuimarisha biashara za wenyeji.

Share: