Kenyans Live

Wafugaji Nandi wahimizwa kukumbatia mfumo mpya wa kufuatilia mifugo

Description (show more)

Wafugaji katika Kaunti ya Nandi wamehimizwa kuunga mkono agizo la Serikali ya Kitaifa kuhusu mfumo wa kutambua na kufuatilia mifugo .

Share: