Barabara ya Thika-Nairobi kuanza kujengwa ndani ya siku 60
Description (show more)
Ujenzi wa barabara ya moja kwa moja kutoka Thika hadi jiji kuu la Nairobi utaanza ndani ya siku 60 zijazo. Naibu Rais Profesa Kithure Kindiki amesema hayo alipokagua na kuzindua miradi ya maendeleo katika maeneo bunge ya Juja na Othaya. Kindiki amewaonya wakandarasi wazembe kuwa watalazimika kurejesha fedha kwa serikali iwapo hawatatekeleza kazi kikamilifu. Aidha, amewarai wanasiasa wenzake kukomesha siasa za uhuni.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
23:56🔴LIVE || TV47 News @ 1 P.M With Martin Githinji
· 792 views
34:38LIVE:Lunchtime News with Giverson Maina II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
· 928 views
1:24:28LIVE: Sunday Service from All Saints Cathedral II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.1K views
1:44:23Jubilee presidential hopeful Fred Matiang'i outlines his road to State House
· 1.1K views
49:45SUNDAY LIVE | IN THE HOUSE OF DCP | PART 2
· 4.2K views
4:12LIVE: Sunday Express II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
· 194 views
4:44Rivers in Athi basin bear brunt of pollution asindustrial waste is discharged into rivers
· 434 views
2:17Kenyan truck drivers decry harassment at border points over Ebola concerns
· 603 views
