Ajali za barabarani zafufua madai ya ufisadi miongoni mwa polisi
Description (show more)
Visa vya ajali za barabarani vinavyoendelea kuripotiwa nchini vimeibua pia maswali kuhusu madai ya ufisadi kwenye barabara kuu nchini. Baadhi ya madereva wameelezea hali ngumu wanayodai kukumbana nayo mikononi mwa baadhi ya maafisa wa polisi, wakisema kuwa wanakabiliwa na madai ya kutoa hongo ili kuepuka kuchukuliwa hatua. Madereva hao wanadai kwamba wanapokataa kutoa hongo, wanaweza kulimbikiziwa makosa zaidi na maafisa hao. Kwa upande wao, madereva na abiria wanaitaka serikali kutekeleza kikamilifu mapendekezo ya ripoti ya jopo kazi kuhusu mageuzi katika idara ya polisi, wakisema hatua hizo zinaweza kusaidia kukabiliana na changamoto zinazowakabili wasafiri na watumiaji wengine wa barabara.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
1:16:18🔴LIVE || TV47 Saa Tano
· 811 views
22:31LIVE: Kurunzi Mashinani naye Sheila Yogo II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 504 views
1:01:45LIVE: Lunchtime News with Ben Troy Njue II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.1K views
30:11🔴LIVE || TV47 News @1pm with Wakio Mzenge
· 1.1K views
20:42LIVE: Tamrini naye Sheila Yogo II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 454 views
1:01:11LIVE: Prime Edition with Muchuma Odim II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.9K views
51:44🔴LIVE || TV47 PRIME @ 9PM || TV47KENYA
· 4.6K views
11:55:00LIVE | #RAMOGITVLIVE
· 24.8K views
